Utafiti
Plastiki yapatikana ndani ya Korodani za Binadamu
![](https://afyaclass.com/mk_omb/uploads/2024/05/Screenshot_20240531-161108.png)
Plastiki yapatikana ndani ya Korodani za Binadamu
Chembe chembe ndogo za Plastiki(microplastics) zinaweza kupatikana kila mahali,kuanzia Tumboni mwa Viumbe wa baharini hadi kwenye maji ya Kunywa,
Na Sasa zimefika kwenye Korodani Za binadamu.
Wanasayansi kutoka Chuo kikuu cha New Mexico walifanya uchunguzi kwa Wanaume 23 na Mbwa 47,
Kisha kubaini chembe chembe za Plastiki katika Kila Sampuli.
Korodani za Binadamu zlizochunguzwa zilitokana na Uchunguzi wa Maiti mwaka 2016. Wakati Sampuli za Mbwa zilitokana na Upasuaji wa Uzazi.
-
Magonjwa7 days ago
Dalili za acid reflux,Soma hapa Kufahamu
-
magonjwa ya wanawake6 days ago
Dalili za Ectopic pregnancy,Mimba kutunga nje ya kizazi
-
Magonjwa2 days ago
Ugonjwa wa ngozi sehemu za siri
-
Elimu&Ushauri4 days ago
Afya za watu bilioni 1.8 duniani matatani kwa kutokufanya Mazoezi – WHO
-
Events2 days ago
Chad yafanikiwa kuondoa Ugonjwa wa trypanosomiasis,WHO yatangaza
-
Uzazi/Ujauzito12 hours ago
Dalili za hatari baada ya kujifungua kwa upasuaji
-
Events6 days ago
Princess Anne alilazwa hospitalini na majeraha madogo kufuatia tukio nyumbani kwake
-
News4 days ago
Mlipuko Mbaya wa homa ya nyani watokea tena KIVU KASKAZINI