Magonjwa
UGONJWA WA LASSA FEVER,CHANZO,DALILI NA TIBA
UGONJWA WA LASSA FEVER,CHANZO,DALILI NA TIBA
Ugonjwa huu wa lassa Fever ni ugonjwa ambao husababishwa na Virusi au ni Viral haemorrhaigeic fever,
ambapo mwanzoni kabsa huweza kusambazwa kwa njia ya chakula,kinyesi au mkojo kutoka kwa panya maarufu kama Mastomy’s Rats,
Lakini pia unaweza kuupata kutoka kwa mgonjwa kwa njia ya damu,maji maji ya mgonjwa n.k
Ugonjwa wa Lassa Fever umeathiri sana maeneo ya Afrika ya Magharibi(Western africa),
Hasa maeneo ya Sierra Leone,Guinea,Liberia na Nigeria.
DALILI ZA UGONJWA WA LASSA FEVER NI PAMOJA NA;
– Mtu kupata homa kali
– Maumivu makali ya kichwa
– Mwili kuchoka kupita kawaida
– Kupata vidonda kooni yaani Sore throat
– Maumivu makali ya misuli,mifupa,joint,kiuno n.k
– Kuhisi kichefuchefu na kutapika
– Mgonjwa kuharisha
– Mgonjwa kukohoa sana
– Mgonjwa kupata maumivu makali ya tumbo n.k
MATIBABU YA UGONJWA WA LASSA FEVER
Dawa ambayo ipo kwenye kundi la Antiviral Drug ijulikanayo kama RIBAVIRIN imeonyesha matokeo mazuri ugonjwa ukiwa kwenye stage za mwanzoni.
fanya vipimo na kuanza tiba mapema kama una dalili kama hizi
KWA USHAURI ZADI,ELIMU AU TIBA JUU YA TATIZO LOLOTE TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
-
Uzazi/Ujauzito5 days ago
Dalili za hatari baada ya kujifungua kwa upasuaji
-
Magonjwa4 days ago
Dalili za infection kwenye damu,mchafuko wa damu
-
Uzazi/Ujauzito3 days ago
Dalili za mimba hutokea baada ya siku ngapi
-
Magonjwa7 days ago
Ugonjwa wa ngozi sehemu za siri
-
Magonjwa2 days ago
kuharisha na kutapika ni dalili za ugonjwa gani
-
Events6 days ago
Chad yafanikiwa kuondoa Ugonjwa wa trypanosomiasis,WHO yatangaza
-
News4 days ago
TANZIA:Yusuf Manji afariki dunia akipatiwa Matibabu Marekani
-
Utafiti21 hours ago
Zaidi ya vifo milioni 3 kila mwaka hutokana na matumizi ya pombe na madawa ya kulevya-WHO