Connect with us

Magonjwa

FAHAMU:Harufu mbaya mdomoni haisababishwi na tatizo la Fangasi wa Kinywa pekee

Avatar photo

Published

on

FAHAMU:Harufu mbaya mdomoni haisababishwi na tatizo la Fangasi wa Kinywa pekee,

Harufu mbaya mdomoni ni tatizo ambalo linawakumba watu wengi,

Na wengi wao kwa haraka haraka huambiwa wana fangasi wa Kinywani,

Je Sahihi? fangasi wa Kinywa ndyo chanzo pekee cha tatizo hili?

FAHAMU:Harufu mbaya mdomoni haisababishwi na tatizo la Fangasi wa Kinywa pekee,

wakati mwingine shida ya meno kuoza,kushambuliwa na vimelea kama bacteria au kutosafisha kinywa vizuri huweza kuleta arufu mbaya kinywani.

Hivo basi tatizo la harufu mbaya Kinywani huweza kusababishwa na sababu zaidi ya Moja, SOMA ZAIDI HAPA…!!!

TATIZO LA KINYWA KUTOA HARUFU MBAYA

Shida hii ya kutoa harufu mbaya kinywani huwasumbua watu wengi, na wengine hushtuka baada ya kuambiwa kwamba Wakati wanaongea kuna harufu mbaya inatoka mdomoni.

Tatizo hili husababishwa na nini? zipo sababu mbali mbali ambazo huchangia kinywa kutoa harufu mbaya,

BAADHI YA SABABU HIZO NI PAMOJA NA;

– Baadhi ya vyakula, baada ya chakula kuvunjwa vunjwa na baadhi ya mabaki ya chakula kuganda kuzunguka meno huweza kupelekea mashambulizi ya bacteria pamoja na kinywa kuanza kutoa harufu mbaya,

Kula VITUNGUU MAJI, vitunguu saumu(garlic) au viungo vingine huweza kuongeza harufu mdomoni

– Uvutaji wa Sigara ikiwemo Tumbaku, mbali na kuwa kwenye hatari ya kupata magonjwa ya fizi(gum disease) na meno,wavutaji wa sigara ikiwemo tumbuku wapo kwenye hatari ya kupata shida ya kutoa harufu mbaya mdomoni

– kUtokusafisha kinywa vizuri(Poor oral and dental hygiene), Hii ni miongoni mwa sababu kubwa ambazo hupekea kutoa harufu mbaya kinywani,

Mbali na kutoa harufu mbaya kinywani, kutokusafisha meno na kinywa vizuri hupelekea mabaki ya chakula kuganda kwenye meno, hali ambayo hupelekea watu wengi sana kuwa na matatizo ya Meno.

KUMBUKA; Wataalam wa meno na kinywa wanasema,miongoni mwa sababu kubwa za matatizo ya meno kwa wagonjwa wengi ambao wanawapata, ni kuganda kwa uchafu kwenye meno kutokana na meno kutokusafishwa vizuri.

– Shida ya mdomo kuwa mkavu(Dry mouth), Mate husaidia sana kusafisha mdomo na kuondoa mabaki ya chakula(Food particles) ambayo huweza kusababisha harufu mbaya mdomoni,

Tatizo hili la mdomo kuwa mkavu yaani Dry mouth or xerostomia huweza kusababisha harufu mbaya kutoka kinywani kwa sababu ya upungufu mkubwa wa mate mdomoni,

Hali hii ya mdomo kuwa mkavu mara nyingi hutokea usiku ukiwa umelala, ndyo maana ukiamka asubuh mdomo hutoa harufu zaidi, mbali na kuwa na mabaki ya chakula mdomoni na kwenye meno kama hukupiga mswaki.

Endapo shida hii ya mdomo kuwa mkavu(xerostomia) hutokea wakati wote bila kuondoka,inabidi upate matibabu ya tatizo hili.

– Matumizi ya dawa, baadhi ya dawa huweza kuchangia tatizo hili la kutoa haruf u mbaya kinywani kwa kukausha mdomo(dry mouth) au kwa kutoa chemicals baada ya uvunjwaji wake,ambazo huweza kuongeza harufu mdomoni.

– Maambukizi ya magonjwa kwenye meno,Fizi na kinywa, kuwa na shida ya fangasi mdomoni, maambukizi ya bacteria, kidonda baada ya kutoa jino au meno,meno kuoza,vidonda mdomoni,n.k vyote hivi huweza kusababisha tatizo la kutoa harufu mbaya mdomoni.

matatizo mengine kama vile; Kansa au saratani, metabolic disorders,(gastroesophageal reflux disease, or GERD),N.k, vyote hivi huweza kuchangia uwepo wa tatizo hili.

MATIBABU YA TATIZO HILI LA KUTOA HARUFU MBAYA KINYWANI

Baada ya kufanyiwa uchunguzi wa kina pamoja na Vipimo,kisha wataalam wa afya kujua chanzo chake,ndipo tiba sahihi ya tatizo lako hufanyika.

Kama nilivyokwisha kueleza hapo juu baadhi ya sababu za tatizo hili, na matibabu yake yatahusu vyanzo vyake.

– Epuka uvutaji wa sigara ikiwemo tumbaku,

– Epuka matumizi ya Pombe,Ugoro n.k

– Hakikisha unasafisha kinywa na meno vizuri hasa baada ya kula

– Tumia mouth wash kama vile hydrogen perioxide n.k

– Epuka kutafuna vitunguu maji,vitunguu saumu,kula viungo vingi n.k

– Hakikisha unakunywa maji ya kutosha

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

 

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In https://afyaclass.com Also Follow us on Instagram @afyaclass

YOU MUST READ(IMPORTANT)

Magonjwa3 months ago

Maumivu chini ya kitovu ni dalili za ugonjwa gani

Maumivu chini ya kitovu ni dalili za ugonjwa gani. Watu wengi huweza kupata maumivu chini ya kitovu, lakini umewahi kujiuliza...

Magonjwa3 months ago

Kaswende ni ugonjwa gani, soma hapa kufahamu

Kaswende ni ugonjwa gani, Kaswende ni maambukizi yanayosababishwa na bakteria. Mara nyingi, huenea kupitia mawasiliano ya kingono au kwa kujamiiana....

Magonjwa3 months ago

Koo kukauka ni dalili ya ugonjwa gani

Koo kukauka ni dalili ya ugonjwa gani Koo kukauka kunaweza kusababishwa na sababu kadhaa, ikiwa ni pamoja na: Upungufu wa...

Magonjwa3 months ago

Amiba ni ugonjwa gani,Fahamu kuhusu Ugonjwa wa Amebiasis

Amiba ni ugonjwa gani Wengi wamezoea kusema hivo ila Amiba(amoeba) ni vimelea vyinavyosababisha ugonjwa, na Ugonjwa huo kitaalam ndyo hujulikana...

Magonjwa5 months ago

kuwashwa nyayo za miguu husababishwa na nini? chanzo na Tiba

kuwashwa nyayo za miguu husababishwa na nini? chanzo na Tiba kuwashwa nyayo za miguu; zipo sababu nyingi ambazo huchangia shida...

magonjwa ya wanawake5 months ago

Ujue Ugonjwa Wa PID (Pelvic Inflammatory Disease)

Ujue Ugonjwa Wa PID (Pelvic Inflammatory Disease) Pid ni ugonjwa gani? PID ni Maambukizi ya bacteria Kwenye Via vya Uzazi...

Magonjwa2 years ago

SHINGO YA MTOTO KULEGEA(CHANZO CHAKE)

SHINGO YA MTOTO KULEGEA(CHANZO CHAKE) Mabadiliko ya Watoto wengi huanza kwenye miezi mitatu ya Mwanzo wakati ambapo Shingo ya mtoto...

Magonjwa3 years ago

MAUMIVU MAKALI SEHEMU YA HAJA KUBWA

Baadhi ya watu wanachanganya tatizo la maumivu makali sehemu ya haja kubwa pamoja na tatizo la Bawasiri,japo mojawapo ya chanzo...

Magonjwa3 years ago

TATIZO LA MASIKIO KUPIGA KELELE,CHANZO NA TIBA YAKE(Tinnitus)

TATIZO LA MASIKIO KUPIGA KELELE,CHANZO NA TIBA YAKE(Tinnitus) tatizo la masikio kupiga kelele Tinnitus, ni Tatizo la masikio kupiga kelele,...

Magonjwa3 years ago

DALILI ZA UGONJWA WA GONO(KISONONO)

 UGONJWA WA KISONONO DALILI ZA UGONJWA WA GONO(KISONONO) Ugonjwa wa gonorrhea maarufu kama GONO au Kisonono ni ugonjwa wa zinaa...

Magonjwa3 years ago

TATIZO LA UKE KUJAMBA PAMOJA NA TIBA YAKE(chanzo cha tatizo hili ni nini?)

Tatizo la Uke Kujamba TATIZO LA UKE KUJAMBA PAMOJA NA TIBA YAKE(chanzo cha tatizo hili ni nini?) Moja ya vitu...

Magonjwa3 years ago

DALILI ZA FANGASI UUMENI,KORODANI PAMOJA NA MATIBABU YAKE

 FANGASI • • • • • DALILI ZA FANGASI UUMENI,KORODANI PAMOJA NA MATIBABU YAKE Mashambulizi ya Fangasi sehemu za siri...

Magonjwa3 years ago

CHANZO CHA TATIZO LA KUOTA NYAMA PUANI PAMOJA NA MATIBABU YAKE

Chanzo cha tatizo la NYAMA PUANI,Dalili zake Pamoja na Tiba yake, Soma makala hii kwa Makini ili upate Kujua kuhusu...

Magonjwa3 years ago

SABABU ZA KUVIMBA KWA MASHAVU YA UKE(TEZI LA BARTHOLIN)

KUVIMBA MASHAVU YA UKE • • • • • • Katika Makala hii tumechambua zaidi kuhusu sababu za kuvimba mashavu...

magonjwa ya wanaume4 years ago

TATIZO LA MWANAUME KUOTA MATITI(gynecomastia)

TATIZO LA MWANAUME KUOTA MATITI(gynecomastia) Tatizo hili linatokea kwa Baadhi ya wanaume,na hata kupelekea Wanaume hao kuwa na Matiti kama...

MAGONJWA MBALI MBALI

Magonjwa3 days ago

kuharisha na kutapika ni dalili za ugonjwa gani

kuharisha na kutapika ni dalili za ugonjwa gani Unapopata tatizo la kuharisha na kutapika kwa wakati mmoja unaweza kuwaza sana,...

Magonjwa5 days ago

Dalili za infection kwenye damu,mchafuko wa damu

Dalili za infection kwenye damu Mchafuko wa damu,chanzo,dalili na Tiba Mchafuko wa damu; hiki ni kiswahili ambacho watu wamezoea kukitumia...

Magonjwa1 week ago

Ugonjwa wa ngozi sehemu za siri

Ugonjwa wa ngozi sehemu za siri Yapo magonjwa mbali mbali ya ngozi ambayo huweza kuathiri Sehemu za Siri za Mwanaume...

Magonjwa2 weeks ago

Dalili za acid reflux,Soma hapa Kufahamu

Dalili za acid reflux: Tatizo la Gastroesophageal reflux disease (GERD), ni tatizo ambalo huwapata Watu wengi,Tatizo hili hujulikana kwa jina...

Magonjwa4 weeks ago

Ugonjwa wa ngozi kuwa nyeupe,VITILIGO

Ugonjwa wa ngozi kuwa nyeupe,VITILIGO Vitiligo ni ugonjwa wa ngozi kuwa nyeupe au ni ugonjwa ambao huhusisha ngozi kupoteza rangi...

Magonjwa4 weeks ago

Mlipuko wa ugonjwa wa macho,Macho Mekundu

Mlipuko wa ugonjwa wa macho,Macho Mekundu Baada ya Ugonjwa huu wa macho kusumbua watu wengi kwa kipindi cha Hivi Karibuni,...

Magonjwa1 month ago

Scabies ni ugonjwa gani? Soma hapa kufahamu

Scabies ni ugonjwa gani? Soma hapa kufahamu Utangulizi: Scabies huhusisha mtu kuwa na vipele na muwasho kwenye ngozi yake ambapo...

Magonjwa1 month ago

Dalili za ugonjwa wa gono kwa mwanaume

Dalili za ugonjwa wa gono kwa mwanaume Gono ni neno maarufu ambalo kirefu chake ni Gonorrhea na kiswahili chake ni...

Magonjwa1 month ago

Dalili Mpya za ukimwi kwenye ngozi

Zipi ni Dalili za ukimwi kwenye ngozi Zipi ni dalili za Ukimwi kwenye ngozi ya mtu? Fahamu hapa kupitia makala...

Magonjwa1 month ago

Madhara ya COVID-19: Athari za Ugonjwa, Asili na Matibabu

Madhara ya COVID-19: Athari za Ugonjwa, Asili na Matibabu Huu ni ugonjwa wa kuambukiza uliosababishwa na kirusi cha corona, ambao...

Trending