Magonjwa
Aina ya vyakula ambavyo huweza kukusaidia kama una Maumivu ya koo(Sore throat)
Aina ya vyakula ambavyo huweza kukusaidia kama una Maumivu ya koo(Sore throat)
Hivi hapa ni baadhi ya vyakula ambavyo huweza kukusaidia kupunguza maumivu ya Koo pamoja na kuimarisha zaidi kinga yako ya Mwili,
Tumia vitu hivi kama unapata shida ya maumivu ya koo;
1. Tumia Tangawizi
2. Tumia Asali
3. Matunda yote kwa ujumla ni mazuri kwako
4. Tumia pia mboga mboga za Majani,mchuzi na vitunguu,
baadhi ya watu pia hupendelea pilipili ya njano na nyeusi
5. Tumia ndizi
6. Tumia viazi vitamu vilivyopondwa na mdalasini
7. Tumia chai ya chamomile na limao
Chamomile ni mmea wa kunukia wa Ulaya ambao upo kwenye familia ya daisy, yenye maua meupe na ya njano.
Pia unaweza kutumia Green tea(Chai ya Kijani) ni nzuri pia
8. Kula vitu ambavyo vinaweza kulainisha koo yaani smoothes.
#chakula&Lishe #Tiba #Maumivukoo
-
Magonjwa4 days ago
Ugonjwa wa ngozi sehemu za siri
-
Elimu&Ushauri6 days ago
Afya za watu bilioni 1.8 duniani matatani kwa kutokufanya Mazoezi – WHO
-
Uzazi/Ujauzito2 days ago
Dalili za hatari baada ya kujifungua kwa upasuaji
-
Magonjwa1 day ago
Dalili za infection kwenye damu,mchafuko wa damu
-
Events3 days ago
Chad yafanikiwa kuondoa Ugonjwa wa trypanosomiasis,WHO yatangaza
-
News6 days ago
Mlipuko Mbaya wa homa ya nyani watokea tena KIVU KASKAZINI
-
Uzazi/Ujauzito10 hours ago
Dalili za mimba hutokea baada ya siku ngapi
-
News2 days ago
TANZIA:Yusuf Manji afariki dunia akipatiwa Matibabu Marekani