Magonjwa
Dr Tedros-Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani(WHO) Kuzungumza na Waziri Ma Xiaowei kuhusu hali ya COVID19 nchini China
Dr Tedros-Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani(WHO) Kuzungumza na Waziri Ma Xiaowei kuhusu hali ya COVID19 nchini China
Tedros Adhanom Ghebreyesus-Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani(WHO) alifanya Mazungumzo na Waziri Ma Xiaowei kuhusu hali ya COVID19 nchini China,
Dr Tedros Alizungumza na Waziri Ma Xiaowei kuhusu hali ya COVID-19 Ilivyo nchini China, na alishukuru kutolewa kwa maelezo ya kina, ambayo aliomba waendelee kushiriki.
Na haya ni maneno yake Dr. Tedros kwenye ukurasa wake wa Twitter;
“Spoke with Minister Ma Xiaowei about the #COVID19 situation in #China. I appreciated the release of detailed information, which we request they continue to share. Asked for the sharing of further sequences & cooperation on understanding the virus origins”.
Maafisa wa nchini China walitoa Taarifa kwa WHO kuhusu hali ya Covid-19 nchini China pamoja na kliniki za wagonjwa wa nje, wagonjwa waliolazwa hospitalini, wagonjwa wanaohitaji matibabu ya dharura na huduma muhimu,
Pamoja na Idadi ya vifo vinvyotokea hospitalini vinavyohusiana na maambukizi ya COVID19.
WHO inasema Taarifa ya hali ya COVID-19 kuanzia mapema mwa Desemba 2022 hadi tarehe 12 Januari 2023, itawezesha kuelewa vyema zaidi hali ya COVID19,hali ya mlipuko na athari za wimbi hili nchini China.
Na haya ni maneno ya Shirika la Afya Duniani(WHO) kwenye Ukurasa wao wa Twitter;
“Chinese officials provided information to WHO on a range of topics, incl. outpatient clinics, hospitalizations, patients requiring emergency treatment & critical care and hospital deaths related to #COVID19 infection”
“The information – which covers early Dec. 2022 to 12 Jan. 2023, allows for a better understanding of the #COVID19 epidemiological situation & the impact of this wave in #China.
WHO requested that this type of detailed information continue to be shared with WHO & the public”.
-
Uzazi/Ujauzito5 days ago
Dalili za hatari baada ya kujifungua kwa upasuaji
-
Magonjwa4 days ago
Dalili za infection kwenye damu,mchafuko wa damu
-
Uzazi/Ujauzito3 days ago
Dalili za mimba hutokea baada ya siku ngapi
-
Magonjwa7 days ago
Ugonjwa wa ngozi sehemu za siri
-
Magonjwa2 days ago
kuharisha na kutapika ni dalili za ugonjwa gani
-
Events6 days ago
Chad yafanikiwa kuondoa Ugonjwa wa trypanosomiasis,WHO yatangaza
-
News4 days ago
TANZIA:Yusuf Manji afariki dunia akipatiwa Matibabu Marekani
-
Utafiti21 hours ago
Zaidi ya vifo milioni 3 kila mwaka hutokana na matumizi ya pombe na madawa ya kulevya-WHO