Connect with us

Magonjwa

Tatizo la mdomo kukauka chanzo chake na Tiba yake

Avatar photo

Published

on

Tatizo la mdomo kukauka chanzo chake na Tiba yake

Je unasumbuliwa na tatizo la kukauka mdomo pamoja na Lips zake?

Tatizo la Kukauka Mdomo kwa kitaalam hujulikana kama xerostomia na hutokea pale ambapo Tezi za mate (Salivary glands) hushindwa kutengeneza mate ya kutosha mdomoni hali ambayo hupelekea kushindwa kutengeneza mazingira ya unyevu unyevu mdomoni,

Na hii hutokea kwa Sababu mbali mbali ikiwemo;

– Matumizi ya baadhi ya Dawa, baadhi ya dawa zina side effect ya kukausha mdomo,

mfano; baadhi ya dawa za kutibu tatizo la depression,Wasiwasi(anxiety),Presha(high blood pressure), baadhi ya dawa za maumivu, dawa kwenye kundi la antihistamines,decongestants,pamoja na muscle relaxants.

– Umri kuwa Mkubwa(Aging), tafiti zinaonyesha watu wengi kadri umri unavyokuwa mkubwa zaidi ndivo hupata shida hii ya mdomo kukauka,

Na hili huenda sambamba na matumizi ya baadhi ya dawa,Mabadiliko kwenye mwili hasa kwa upande wa uwezo wa mwili kuchakata dawa, Lishe Duni pamoja na kuwa na matatizo mengine ya kiafya ya muda mrefu.

– Kukosa Virutubisho muhimu mwilini kama vile madini pamoja na Vitamins, mfano vitamin B,A N.k

Hii hutokana na Lishe duni, au kukosa Mlo wenye virutubisho vyote kwa kiwango sahihi kinachohitajika mwilini yaani balance diet.

– Matibabu ya Kansa au Saratani(Cancer therapy),

Mfano;Dawa za Chemotherapy huweza kubadilisha asili ya mate na kiasi kinachozalishwa.

Japo hali hii sio ya kudumu ni ya muda mfupi tu, mara baada ya mgonjwa kumaliza tiba, Uzalishwaji wa kawaida kwa mate hurudi tena kama awali.

Huduma ya Mionzi(Radiation treatments), hasa ikifanyika eneo la kichwani na shingoni, hii huweza kusababisha uharibifu wa tezi za Mate hali ambayo hupelekea kupungua sana kwa uzalishwaji wa Mate,

Hii nayo huweza kuwa ya muda mfupi au ya kudumu kutegemea na radiation dose pamoja na eneo lililokuwa linatibiwa.

– Uharibifu wa Neva, hii huweza kutokea baada ya mtu kuumia(Injury) au kufanyiwa Upasuaji ambao husababisha uharibu wa nerves eneo la Kichwani na Shingoni,

Hii huweza kupelekea mtu kupata tatizo la mdomo kukauka.

– Matatizo mengine ambayo huweza kuchangia tatizo la Mdomo kukauka ni pamoja na;

• Ugonjwa wa Kisukari(Diabetes)

• Tatizo la kiharusi(Stroke)

• Maambukizi ya fangasi wa Mdomoni-yeast infection (thrush)

• Alzheimer’s disease

• Au magonjwa yanayohusisha mfumo wa kinga mwili(autoimmune diseases), kama vile Sjogren’s syndrome

• Maambukizi ya Virusi vya Ukimwi(HIV/AIDS).

• Tatizo la Kukoroma na kupumua mdomo wako ukiwa wazi pia huweza kuchangia kinywa kuwa kikavu zaidi. n.k

– Matumizi ya tumbaku na Pombe. Uvutaji wa Sigara,kutumia tumbaku pamoja na Pombe, vyote hivi huweza kuchangia zaidi tatizo la mdomo kuwa mkavu

– Matumizi ya dawa za kulevyia,Mirungi(Marijuana) n.k

– Matumizi ya Recreational drugs kama vile Methamphetamine huweza kusababisha hali ya mdomo kukauka sana na kuharibu meno, tatizo ambalo kwa kitaalam hujulikana kama “meth mouth.”

MADHARA YA TATIZO LA MDOMO KUKAUKA;

Kama huzalishi mate ya kutosha na mdomo wako ukakauka,hii inaweza kusababisha;

1. Meno yako kuwa kwenye hatari zaidi ya kuharibika(tooth decay)

2. Kupata magonjwa ya fizi yaani gum Diseases

3. Kupata vidonda mdomoni(Mouth sores)

4. Kuwa kwenye hatari zaidi ya kushambuliwa na fangasi wa mdomoni(Yeast infection)

5. kuwa na vidonda au ngozi kupasuka kwenye kona za mdomo

6. Lips za mdomo kupasuka(cracked lips)

7. Mdomo kutoa harufu mbaya n.k

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

YOU MUST READ(IMPORTANT)

Magonjwa2 months ago

Maumivu chini ya kitovu ni dalili za ugonjwa gani

Maumivu chini ya kitovu ni dalili za ugonjwa gani. Watu wengi huweza kupata maumivu chini ya kitovu, lakini umewahi kujiuliza...

Magonjwa3 months ago

Kaswende ni ugonjwa gani, soma hapa kufahamu

Kaswende ni ugonjwa gani, Kaswende ni maambukizi yanayosababishwa na bakteria. Mara nyingi, huenea kupitia mawasiliano ya kingono au kwa kujamiiana....

Magonjwa3 months ago

Koo kukauka ni dalili ya ugonjwa gani

Koo kukauka ni dalili ya ugonjwa gani Koo kukauka kunaweza kusababishwa na sababu kadhaa, ikiwa ni pamoja na: Upungufu wa...

Magonjwa3 months ago

Amiba ni ugonjwa gani,Fahamu kuhusu Ugonjwa wa Amebiasis

Amiba ni ugonjwa gani Wengi wamezoea kusema hivo ila Amiba(amoeba) ni vimelea vyinavyosababisha ugonjwa, na Ugonjwa huo kitaalam ndyo hujulikana...

Magonjwa5 months ago

kuwashwa nyayo za miguu husababishwa na nini? chanzo na Tiba

kuwashwa nyayo za miguu husababishwa na nini? chanzo na Tiba kuwashwa nyayo za miguu; zipo sababu nyingi ambazo huchangia shida...

magonjwa ya wanawake5 months ago

Ujue Ugonjwa Wa PID (Pelvic Inflammatory Disease)

Ujue Ugonjwa Wa PID (Pelvic Inflammatory Disease) Pid ni ugonjwa gani? PID ni Maambukizi ya bacteria Kwenye Via vya Uzazi...

Magonjwa2 years ago

SHINGO YA MTOTO KULEGEA(CHANZO CHAKE)

SHINGO YA MTOTO KULEGEA(CHANZO CHAKE) Mabadiliko ya Watoto wengi huanza kwenye miezi mitatu ya Mwanzo wakati ambapo Shingo ya mtoto...

Magonjwa3 years ago

MAUMIVU MAKALI SEHEMU YA HAJA KUBWA

Baadhi ya watu wanachanganya tatizo la maumivu makali sehemu ya haja kubwa pamoja na tatizo la Bawasiri,japo mojawapo ya chanzo...

Magonjwa3 years ago

TATIZO LA MASIKIO KUPIGA KELELE,CHANZO NA TIBA YAKE(Tinnitus)

TATIZO LA MASIKIO KUPIGA KELELE,CHANZO NA TIBA YAKE(Tinnitus) tatizo la masikio kupiga kelele Tinnitus, ni Tatizo la masikio kupiga kelele,...

Magonjwa3 years ago

DALILI ZA UGONJWA WA GONO(KISONONO)

 UGONJWA WA KISONONO DALILI ZA UGONJWA WA GONO(KISONONO) Ugonjwa wa gonorrhea maarufu kama GONO au Kisonono ni ugonjwa wa zinaa...

Magonjwa3 years ago

TATIZO LA UKE KUJAMBA PAMOJA NA TIBA YAKE(chanzo cha tatizo hili ni nini?)

Tatizo la Uke Kujamba TATIZO LA UKE KUJAMBA PAMOJA NA TIBA YAKE(chanzo cha tatizo hili ni nini?) Moja ya vitu...

Magonjwa3 years ago

DALILI ZA FANGASI UUMENI,KORODANI PAMOJA NA MATIBABU YAKE

 FANGASI • • • • • DALILI ZA FANGASI UUMENI,KORODANI PAMOJA NA MATIBABU YAKE Mashambulizi ya Fangasi sehemu za siri...

Magonjwa3 years ago

CHANZO CHA TATIZO LA KUOTA NYAMA PUANI PAMOJA NA MATIBABU YAKE

Chanzo cha tatizo la NYAMA PUANI,Dalili zake Pamoja na Tiba yake, Soma makala hii kwa Makini ili upate Kujua kuhusu...

Magonjwa3 years ago

SABABU ZA KUVIMBA KWA MASHAVU YA UKE(TEZI LA BARTHOLIN)

KUVIMBA MASHAVU YA UKE • • • • • • Katika Makala hii tumechambua zaidi kuhusu sababu za kuvimba mashavu...

Magonjwa4 years ago

TATIZO LA MWANAUME KUOTA MATITI(gynecomastia)

TATIZO LA MWANAUME KUOTA MATITI(gynecomastia) Tatizo hili linatokea kwa Baadhi ya wanaume,na hata kupelekea Wanaume hao kuwa na Matiti kama...

MAGONJWA MBALI MBALI

Magonjwa1 day ago

Dalili za infection kwenye damu,mchafuko wa damu

Dalili za infection kwenye damu Mchafuko wa damu,chanzo,dalili na Tiba Mchafuko wa damu; hiki ni kiswahili ambacho watu wamezoea kukitumia...

Magonjwa4 days ago

Ugonjwa wa ngozi sehemu za siri

Ugonjwa wa ngozi sehemu za siri Yapo magonjwa mbali mbali ya ngozi ambayo huweza kuathiri Sehemu za Siri za Mwanaume...

Magonjwa1 week ago

Dalili za acid reflux,Soma hapa Kufahamu

Dalili za acid reflux: Tatizo la Gastroesophageal reflux disease (GERD), ni tatizo ambalo huwapata Watu wengi,Tatizo hili hujulikana kwa jina...

Magonjwa3 weeks ago

Ugonjwa wa ngozi kuwa nyeupe,VITILIGO

Ugonjwa wa ngozi kuwa nyeupe,VITILIGO Vitiligo ni ugonjwa wa ngozi kuwa nyeupe au ni ugonjwa ambao huhusisha ngozi kupoteza rangi...

Magonjwa4 weeks ago

Mlipuko wa ugonjwa wa macho,Macho Mekundu

Mlipuko wa ugonjwa wa macho,Macho Mekundu Baada ya Ugonjwa huu wa macho kusumbua watu wengi kwa kipindi cha Hivi Karibuni,...

Magonjwa4 weeks ago

Scabies ni ugonjwa gani? Soma hapa kufahamu

Scabies ni ugonjwa gani? Soma hapa kufahamu Utangulizi: Scabies huhusisha mtu kuwa na vipele na muwasho kwenye ngozi yake ambapo...

Magonjwa1 month ago

Dalili za ugonjwa wa gono kwa mwanaume

Dalili za ugonjwa wa gono kwa mwanaume Gono ni neno maarufu ambalo kirefu chake ni Gonorrhea na kiswahili chake ni...

Magonjwa1 month ago

Dalili Mpya za ukimwi kwenye ngozi

Zipi ni Dalili za ukimwi kwenye ngozi Zipi ni dalili za Ukimwi kwenye ngozi ya mtu? Fahamu hapa kupitia makala...

Magonjwa1 month ago

Madhara ya COVID-19: Athari za Ugonjwa, Asili na Matibabu

Madhara ya COVID-19: Athari za Ugonjwa, Asili na Matibabu Huu ni ugonjwa wa kuambukiza uliosababishwa na kirusi cha corona, ambao...

Magonjwa1 month ago

Ishara za Maambukizi ya Njia ya Mkojo (UTI) kwa Wanaume na Wanawake

Ishara za Maambukizi ya Njia ya Mkojo (UTI) kwa Wanaume na Wanawake Karibu! Hapa kwa makala yenye taarifa muhimu kuhusu...

Trending