Magonjwa
SABABU KUU MBILI ZA MTU KUPATA VIDONDA VYA TUMBO
![](https://afyaclass.com/mk_omb/uploads/2022/02/images-4-2.jpeg)
SABABU KUU MBILI ZA MTU KUPATA VIDONDA VYA TUMBO
1.Ni matumizi mabaya ya dawa za maumivu
2. Pamoja na mashambulizi ya bacteria aina ya Helicobacter Pylori maarufu kama H.PYLORI.
SABABU ZINGINE NI PAMOJA NA;
– Mtu kukaa na njaa kwa muda mrefu mara kwa mara
– Kula chakula chenye kemikali au sumu
– Kuwa na shida ya Msongo wa mawazo mara kwa mara n.k
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
-
Magonjwa4 days ago
Ugonjwa wa ngozi sehemu za siri
-
Elimu&Ushauri6 days ago
Afya za watu bilioni 1.8 duniani matatani kwa kutokufanya Mazoezi – WHO
-
Uzazi/Ujauzito2 days ago
Dalili za hatari baada ya kujifungua kwa upasuaji
-
Magonjwa1 day ago
Dalili za infection kwenye damu,mchafuko wa damu
-
Events3 days ago
Chad yafanikiwa kuondoa Ugonjwa wa trypanosomiasis,WHO yatangaza
-
Uzazi/Ujauzito10 hours ago
Dalili za mimba hutokea baada ya siku ngapi
-
News6 days ago
Mlipuko Mbaya wa homa ya nyani watokea tena KIVU KASKAZINI
-
News2 days ago
TANZIA:Yusuf Manji afariki dunia akipatiwa Matibabu Marekani