Magonjwa
WATOTO MAPACHA AMBAO WAMEUNGANA KICHWA(Conjoined twins)
WATOTO MAPACHA AMBAO WAMEUNGANA KICHWA(Conjoined twins)
Hawa ni watoto mapacha ambao wameungana kichwa yaani kwa kitaalam hujulikana kama Conjoined twins
Na wapo wengine ambao huungana kichwa,uso na kifua kwa kitaalamu huitwa cephalothoracopagus conjoined twin.Hawa Ni mojawapo ya mapacha adimu sana kutokea.
Kinachopelekea hali hii kutokea bado hakijulikani vizuri lakini tafiti mbalimbali zinaelezea kuwepo kwa hitilafu za kivinasaba wakati wa utenganishaji wa mapacha hawa katika hatua za mwanzoni kabisa baada ya mimba kutunga
HATARI YA KUPATA MAPACHA HAWA NI PAMOJA NA
-kupata mimba ukiwa na miaka 35 na kuendelea
-uvutaji wa sigara kwa mjamzito
-wanawake walopata kemikali DES wakati wa ujauzito
-wanafamilia ambao wameona ndugu kwa ndugu mfano mtu na dada yake au mtu na mjomba wake wapate mimba
UJUMBE:wanafamilia zingatieni sana misingi ya afya,mwanamke pata mimba ukiwa na umri wa miaka 20 hadi 30,pima kipimo cha ultrasound mapema kabisa ndani ya wiki 16 toka mwanamke upate mimba,USIZAE NA NDUGU YAKO,
Mapacha wa aina hii ni ngumu sana kuishi kutokana na madhara wayapatayo baada ya kuzaliwa
#conjoinedtwins
-
Uzazi/Ujauzito6 days ago
Dalili za hatari baada ya kujifungua kwa upasuaji
-
Uzazi/Ujauzito4 days ago
Dalili za mimba hutokea baada ya siku ngapi
-
Magonjwa5 days ago
Dalili za infection kwenye damu,mchafuko wa damu
-
Magonjwa3 days ago
kuharisha na kutapika ni dalili za ugonjwa gani
-
Events7 days ago
Chad yafanikiwa kuondoa Ugonjwa wa trypanosomiasis,WHO yatangaza
-
News5 days ago
TANZIA:Yusuf Manji afariki dunia akipatiwa Matibabu Marekani
-
afyatips19 hours ago
Madhara ya damu kuwa nyingi mwilini
-
Utafiti2 days ago
Zaidi ya vifo milioni 3 kila mwaka hutokana na matumizi ya pombe na madawa ya kulevya-WHO