Magonjwa
ZINGATIA HAYA ILI KUJENGA AFYA BORA KWA MTOTO WAKO
ZINGATIA HAYA ILI KUJENGA AFYA BORA KWA MTOTO WAKO
Kwanza kabsa baada ya mtoto kuzaliwa tu huhitaji kuanza kunyonya kwa mama yake,
– Unyonyeshaji wa mtoto huanza baada ya kuzaliwa mpaka mtoto anapofikisha umri wa miaka 2 au mitatu ukiweza,
ndani ya miezi 6 ya mwanzo,hakikisha mtoto anapata maziwa ya mama pekee bila kuchanganyiwa na vitu vingine vyovyote yaani kwa kitaalam EXCLUSIVE BREASTFEEDING,
Baada ya mtoto kunyonya maziwa ya mama pekee ndani ya miezi sita ya kwanza,ndipo unaweza kuanza kumchanganyia pamoja na vitu vingine
KUMBUKA; maziwa ya mama hutoa kinga ya kutosha kwa mtoto dhidi ya magonjwa mbali mbali.
– Pia hakikisha mtoto anapata chanjo zote muhimu toka anazaliwa, ikiwemo;
• chanjo ya kuzuia ugonjwa wa kifua kikuu maarufu kama BCG
• chanjo ya kuzuia ugonjwa wa kupooza yaani POLIO
• Chanjo ya kuzuia magonjwa matano yaani PENTAVALENT
• Chanjo ya kuzuia kuharisha maarufu kama ROTAX,
• Matone ya vitamin A, Dawa za minyoo
pamoja na chanjo zingine zote.
Lishe pamoja na chanjo ni vitu vya msingi sana kwenye afya ya mtoto wako.
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA JUU YA TATIZO LOLOTE TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
-
Uzazi/Ujauzito5 days ago
Dalili za hatari baada ya kujifungua kwa upasuaji
-
Magonjwa4 days ago
Dalili za infection kwenye damu,mchafuko wa damu
-
Uzazi/Ujauzito3 days ago
Dalili za mimba hutokea baada ya siku ngapi
-
Magonjwa7 days ago
Ugonjwa wa ngozi sehemu za siri
-
Magonjwa2 days ago
kuharisha na kutapika ni dalili za ugonjwa gani
-
Events6 days ago
Chad yafanikiwa kuondoa Ugonjwa wa trypanosomiasis,WHO yatangaza
-
News4 days ago
TANZIA:Yusuf Manji afariki dunia akipatiwa Matibabu Marekani
-
Utafiti23 hours ago
Zaidi ya vifo milioni 3 kila mwaka hutokana na matumizi ya pombe na madawa ya kulevya-WHO