Magonjwa
Mazoezi ya Asubuhi na Kupunguza Uzito(afyatips)
![](https://afyaclass.com/mk_omb/uploads/2023/01/20230118_065608.jpg)
Mazoezi ya Asubuhi na Kupunguza Uzito,
Moja ya njia ya Kupunguza Uzito ni kufanya Mazoezi,
Mazoezi ya asubuhi huleta matokeo mazuri zaidi,
Unashauriwa kufanya mazoezi kiasi yaani moderate exercise kabla ya kukaa na kula kitu chochote wakati wa asubuh.
Kufanya mazoezi huku tumbo lako likiwa halijapata kitu(empty stomach) husaidia kupata matokeo mazuri kwa haraka zaidi,
Kutoa jasho kabla ya kupata breakfast huweza kusaidia kuunguza zaidi mafuta yako ya mwili(body’s fat) kitu ambacho ni kizuri zaidi kwako.
• Fanya Mazoezi angalau kwa muda wa Nusu saa au Dakika 30,
• Ondoa Uchovu na Mawazo au stress
• Jiweke kwenye Mood ya kufanya kazi zako za Siku
• Punguza Uzito wako wa Mwili
#Mazoezi #Asubuh #UzitowaMwili
-
Magonjwa4 days ago
Ugonjwa wa ngozi sehemu za siri
-
Elimu&Ushauri6 days ago
Afya za watu bilioni 1.8 duniani matatani kwa kutokufanya Mazoezi – WHO
-
Uzazi/Ujauzito2 days ago
Dalili za hatari baada ya kujifungua kwa upasuaji
-
Magonjwa1 day ago
Dalili za infection kwenye damu,mchafuko wa damu
-
Events3 days ago
Chad yafanikiwa kuondoa Ugonjwa wa trypanosomiasis,WHO yatangaza
-
Uzazi/Ujauzito10 hours ago
Dalili za mimba hutokea baada ya siku ngapi
-
News6 days ago
Mlipuko Mbaya wa homa ya nyani watokea tena KIVU KASKAZINI
-
News2 days ago
TANZIA:Yusuf Manji afariki dunia akipatiwa Matibabu Marekani