Magonjwa
UMUHIMU WA KUFANYA MAZOEZI MWILINI
![](https://afyaclass.com/mk_omb/uploads/2020/12/images.jpeg)
UMUHIMU WA KUFANYA MAZOEZI KILA SIKU
➡️ Ombeni Mkumbwa
Hii hapa ni List ya Baadhi ya Mazoezi ambayo watu wengi duniani hufanya
- Mazoezi ya kucheza Mpira wa Miguu kila siku
- Mazoezi ya kucheza aina yoyote nyingine ya Mpira duniani kote kama Vile Mpira wa Kikapu maarufu kama Basketball,Volleyball n.k
- Mazoezi ya mwili na Viungo ambapo hapa kuna aina kibao za mazoezi,kama vile kareti,Jim, n.k
- Mazoezi ya kukimbia maarufu kama mazoezi ya Riadha
- Mazoezi ya kuruka kamba,ambapo pia Wanawake wengi hupendelea aina hii ya Mazoezi
Umuhimu wa Mtu Kufanya Mazoezi kila siku
SUMMARY;
Katika Makala hii tumezungumza mambo mengi, Japo Mada kubwa ya Makala hii,ni Umuhimu wa Mtu kufanya Mazoezi kila siku.Hivo basi tumejaribu kukuonyesha baadhi ya Faida za kufanya mazoezi kila siku. Karibu tuendelee Kujifunza na kuelimishana ili kujenga Msingi bora wa afya zetu.,, Kwa Pamoja tunaweza…….!!!!!!!
@Kwa Ushauri zaidi,Elimu au Tiba tuwasiliane kwa namba +255758286584 Tuma Ujumbe au Piga simu,utasikilizwa na kuhudumiwa popote ulipo.
-
Uzazi/Ujauzito5 days ago
Dalili za hatari baada ya kujifungua kwa upasuaji
-
Magonjwa4 days ago
Dalili za infection kwenye damu,mchafuko wa damu
-
Uzazi/Ujauzito3 days ago
Dalili za mimba hutokea baada ya siku ngapi
-
Magonjwa2 days ago
kuharisha na kutapika ni dalili za ugonjwa gani
-
Events6 days ago
Chad yafanikiwa kuondoa Ugonjwa wa trypanosomiasis,WHO yatangaza
-
News5 days ago
TANZIA:Yusuf Manji afariki dunia akipatiwa Matibabu Marekani
-
Utafiti1 day ago
Zaidi ya vifo milioni 3 kila mwaka hutokana na matumizi ya pombe na madawa ya kulevya-WHO
-
afyatips4 hours ago
Madhara ya damu kuwa nyingi mwilini