Magonjwa
TATIZO LA KORODANI KUWASHA NA KUBABUKA NGOZI
TATIZO LA KORODANI KUWASHA NA KUBABUKA NGOZI
Tatizo hili la korodani kuwasha pamoja na kubabuka ngozi hutokea kwa Wanaume wengi sana,
Korodani huweza kuanza kuwasha,kubabuka,kutoa unga unga,rangi ya ngozi kuwa nyekundu zaidi,ngozi ya korodani kuwa laini zaidi n.k
Miwasho hii huweza kuenea hadi maeneo mengine mfano kwenye eneo la kwenye mfereji wa njia ya haja kubwa ambapo eneo hili kwa kitaalam hujulikana kama Perineum,
Miwasho kwenye Eneo ambalo nywele za sehemu za siri huota, na wengine hupata miwasho mpaka kwenye njia ya mkojo kwa ndani.
JE CHANZO CHA SHIDA HII NI NINI?
Kwa asilimia kubwa,Tatizo hili la korodani kuwasha pamoja na kubabuka ngozi hutokana na maambukizi ya Fangasi,
Fangasi wa Sehemu za Siri huweza kukushambulia na kuleta madhara haya kwako.
ZINGATIA HAYA;
– Epuka kuvaa nguo za ndani ambazo hazijakauka vizuri
– Epuka kuvaa nguo za ndani chafu
– Hakikisha eneo la sehemu za siri linakuwa safi,ikiwemo kunyoa nywele kwenye eneo hili
– Kama unasumbuliwa na tatizo hili hakikisha unapata TIBA.
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
-
Uzazi/Ujauzito5 days ago
Dalili za hatari baada ya kujifungua kwa upasuaji
-
Magonjwa4 days ago
Dalili za infection kwenye damu,mchafuko wa damu
-
Uzazi/Ujauzito3 days ago
Dalili za mimba hutokea baada ya siku ngapi
-
Magonjwa7 days ago
Ugonjwa wa ngozi sehemu za siri
-
Magonjwa2 days ago
kuharisha na kutapika ni dalili za ugonjwa gani
-
Events6 days ago
Chad yafanikiwa kuondoa Ugonjwa wa trypanosomiasis,WHO yatangaza
-
News4 days ago
TANZIA:Yusuf Manji afariki dunia akipatiwa Matibabu Marekani
-
Utafiti23 hours ago
Zaidi ya vifo milioni 3 kila mwaka hutokana na matumizi ya pombe na madawa ya kulevya-WHO