Magonjwa
KANSA YA MAPAFU-lung Cancer(SARATANI YA MAPAFU)
KANSA YA MAPAFU-lung Cancer(SARATANI YA MAPAFU)
Kansa ya mapafu yaani Lung Cancer ni kansa ambayo huchukua namba mbili kwa kuwapata watu wengi zaidi Duniani kote huku namba moja ikiwa kansa ya matiti yaani Breast Cancer kwa Takwimu za mwaka 2020.
Zaidi ya watu Millioni 2.2 wamegundulika Wana kansa hii ndani ya Mwaka 2020. Huku Idadi ya Wanaume ikiwa ni kubwa zaidi kuliko wanawake.
Kwa upande wa kusababisha Vifo, Kansa ya mapafu imechukua namba moja kwa takwimu za Mwaka 2020, huku ikisababisha vifo Million 1.80.
SOMA HAPA TAKWIMU KWA MWAKA 2020(Source:WHO)
Kansa ya matiti/breast cancer (2.26 million cases);
Kansa ya mapafu/lung cancer(2.21 million cases);
colon and rectum (1.93 million cases);
prostate (1.41 million cases);
skin (non-melanoma) (1.20 million cases); and
stomach (1.09 million cases).
KWA UPANDE WA VIFO,KANSA AMBAZO ZIMEONGOZA KWA KUSABABISHA VIFO (TWAKIMU 2020:Source WHO)
Kansa ya mapafu/lung cancer (1.80 million deaths);
colon and rectum (916 000 deaths);
liver (830 000 deaths);
stomach (769 000 deaths); and
breast (685 000 deaths).
Each year, approximately
KUMBUKA: Kufanya vipimo na kugundulika mapema kwa kansa hizi,husaidia mgonjwa kupata Tiba kamili na kupona kwa haraka,kuliko akichelewa sana kuanza matibabu.
-
Uzazi/Ujauzito5 days ago
Dalili za hatari baada ya kujifungua kwa upasuaji
-
Magonjwa4 days ago
Dalili za infection kwenye damu,mchafuko wa damu
-
Uzazi/Ujauzito3 days ago
Dalili za mimba hutokea baada ya siku ngapi
-
Magonjwa7 days ago
Ugonjwa wa ngozi sehemu za siri
-
Magonjwa2 days ago
kuharisha na kutapika ni dalili za ugonjwa gani
-
Events6 days ago
Chad yafanikiwa kuondoa Ugonjwa wa trypanosomiasis,WHO yatangaza
-
News4 days ago
TANZIA:Yusuf Manji afariki dunia akipatiwa Matibabu Marekani
-
Utafiti23 hours ago
Zaidi ya vifo milioni 3 kila mwaka hutokana na matumizi ya pombe na madawa ya kulevya-WHO