Magonjwa
JINSI YA KUONDOA KITAMBI KWA KUTUMIA VYAKULA TU
KITAMBI
• • • • •
JINSI YA KUONDOA KITAMBI KWA KUTUMIA VYAKULA TU
Ukweli ni kwamba,kitambi sio afya bali ni tatizo na huweza kuwa chanzo cha matatizo mbali mbali kwenye mwili wako.
Ndyo maana kwa hivi sasa kuna Program nyingi kutoka kwa wataalam wa afya wanahamasisha njia mbali mbali za kuondoa vitambi,kupunguza uzito uliopitiliza pamoja na unene.
Vitu hivi sio afya bali ni tatizo ambalo huhitaji tiba kwa Njia yoyote ile.
JINSI YA KUONDOA KITAMBI KWA KUTUMIA VYAKULA TU
– Kuna baadhi ya vyakula husaidia sana kwa watu wenye tatizo la Vitambi pamoja na Uzito uliopitiliza.
Vyakula hivo ni pamoja na;
✓ Matumizi ya Karanga husaidia kwa watu wenye vitambi
✓ Matumizi ya matunda mbali mbali kama vile;
• Matumizi ya matango
• Matumizi ya tunda aina ya Parachichi
• Matumizi ya tunda la tikiti maji
✓ Matumizi ya Mdalasini
PAMOJA NA NJIA NYINGINE za kupunguza uzito na unene kama vile; Kufanya mazoezi ya kuruka kamba,kucheza mpira,Kukimbia N.K
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
-
Uzazi/Ujauzito5 days ago
Dalili za hatari baada ya kujifungua kwa upasuaji
-
Magonjwa4 days ago
Dalili za infection kwenye damu,mchafuko wa damu
-
Uzazi/Ujauzito3 days ago
Dalili za mimba hutokea baada ya siku ngapi
-
Magonjwa7 days ago
Ugonjwa wa ngozi sehemu za siri
-
Magonjwa2 days ago
kuharisha na kutapika ni dalili za ugonjwa gani
-
Events6 days ago
Chad yafanikiwa kuondoa Ugonjwa wa trypanosomiasis,WHO yatangaza
-
News4 days ago
TANZIA:Yusuf Manji afariki dunia akipatiwa Matibabu Marekani
-
Utafiti21 hours ago
Zaidi ya vifo milioni 3 kila mwaka hutokana na matumizi ya pombe na madawa ya kulevya-WHO