Magonjwa
FAIDA ZA ZOEZI LA KURUKA KAMBA
FAIDA ZA ZOEZI LA KURUKA KAMBA
Moja ya vitu muhimu sana katika kuimarisha afya ya mwili ni pamoja na kufanya mazoezi, Ukishindwa sana tenda angalau dakika 30 kila siku za kufanya mazoezi.
Kuna aina nyingi sana za mazoezi kama vile; mazoezi ya jim, Kunyanyua vitu vizito, kuruka kamba, zoezi la kukimbia, zoezi la kucheza mpira(mpira wa miguu,mpira wa kikapu N.K)
BAADHI YA FAIDA ZA MAZOEZI MBALI MBALI KWA UJUMLA WAKE NI PAMOJA NA;
– Kuimarisha kinga ya mwili wako
– Kuleta afya ya ngozi
– Kupunguza uwezekano wa kushambuliwa na magonjwa mbali mbali kama vile magonjwa ya moyo,Kisukari,Presha N.K
– Kupunguza uzito wa mwili na kukusaidia kuondokana na shida ya kuwa na uzito uliopitiliza
N.K
FAIDA ZA ZOEZI LA KURUKA KAMBA KWA UPEKEE WAKE
Faida za zoezi la kuruka kamba ni pamoja na;
• Kusaidia kupunguza presha au shinikizo la damu kwa watu wenye shida hii
• Kuruka kamba husaidia sana katika kuchoma mafuta mabaya mwilini
• Kuruka kamba husaidia sana katika kuimarisha afya na kuukinga moyo dhidi ya magonjwa mbali mbali
• Kuruka kamba husaidia kuimarisha mzunguko mzuri wa hewa mwilini ikiwa ni pamoja na kutanua mapafu vizuri
• Kuruka kamba husaidia sana kupunguza uzito wa mwili kwa watu wenye tatizo la uzito mkubwa
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
-
Uzazi/Ujauzito5 days ago
Dalili za hatari baada ya kujifungua kwa upasuaji
-
Magonjwa4 days ago
Dalili za infection kwenye damu,mchafuko wa damu
-
Uzazi/Ujauzito3 days ago
Dalili za mimba hutokea baada ya siku ngapi
-
Magonjwa2 days ago
kuharisha na kutapika ni dalili za ugonjwa gani
-
Events6 days ago
Chad yafanikiwa kuondoa Ugonjwa wa trypanosomiasis,WHO yatangaza
-
News5 days ago
TANZIA:Yusuf Manji afariki dunia akipatiwa Matibabu Marekani
-
Utafiti1 day ago
Zaidi ya vifo milioni 3 kila mwaka hutokana na matumizi ya pombe na madawa ya kulevya-WHO
-
afyatips2 hours ago
Madhara ya damu kuwa nyingi mwilini