Magonjwa
MAISHA BAADA YA KUTUMIA NJIA ZA UZAZI WA MPANGO
UZAZI
• • • • • •
MAISHA BAADA YA KUTUMIA NJIA ZA UZAZI WA MPANGO
Inategemea uliamua kutumia njia gani ilipofikia hatua ya kuamua kupanga uzazi. Je ni njia ya muda mfupi, Njia ya muda mrefu, njia ya kudumu, Njia ya kisasa au Njia ya Asili.
Na kila aina ya njia huweza kusababisha mabadiliko katika nama,mtindo au Staili ya maisha yako katika Familia.
– Kuna baadhi ya Njia huweza kukusababishia mabadiliko ya siku zako za hedhi tofauti na mwanzoni ulivyozoea kuishi
– Kuna baadhi ya njia huweza kukusababishia ukablid kwa muda mrefu na damu nyingi tofauti ba ulivyozoea kuishi
– Kuna Baadhi ya njia huweza kukufanya uwe mtu wa kuumwa na kichwa sana mara kwa mara
– Kuna baadhi ya njia huweza kukusababishia uwe mtu wa kutembea na dawa kila mahali
– Kuna baadhi ya njia huweza kukuletea kizunguzungu kikali
– Kuna baadhi ya njia huweza kubadilisha hata kula yako
– Kuna baadhi ya njia huweza kukufanya uwe mnene sana au uwe mwembamba sana
– Kuna baadhi ya njia huweza kukufanya uwe mtu wa kutapika tapika na kichefuchefu mara kwa mara
– Kuna baadhi ya njia huweza kukufanya usifurahie sana tendo la ndoa
N.K
ushauri wangu kwako, Katika kupanga uzazi, nilazima ukutane na wataalam wa afya muongee kwa kina,wakuonyeshe na kukuelezea kila aina ya Njia ya kupanga uzazi pamoja na faida na hasara zake, Na mshauriane njia gani ni salama kwako kulingana na mwili wako na Afya yako.
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
-
Magonjwa5 days ago
Ugonjwa wa ngozi sehemu za siri
-
Elimu&Ushauri7 days ago
Afya za watu bilioni 1.8 duniani matatani kwa kutokufanya Mazoezi – WHO
-
Uzazi/Ujauzito3 days ago
Dalili za hatari baada ya kujifungua kwa upasuaji
-
Magonjwa2 days ago
Dalili za infection kwenye damu,mchafuko wa damu
-
Events4 days ago
Chad yafanikiwa kuondoa Ugonjwa wa trypanosomiasis,WHO yatangaza
-
Uzazi/Ujauzito12 hours ago
Dalili za mimba hutokea baada ya siku ngapi
-
News7 days ago
Mlipuko Mbaya wa homa ya nyani watokea tena KIVU KASKAZINI
-
News2 days ago
TANZIA:Yusuf Manji afariki dunia akipatiwa Matibabu Marekani